Check his raunchy performance
jama yuko kazi jipe shughli…wacha anukishe kitungu.
si mlisema anatumianga viagra, mmuache awaoneshe.
Upuus
Kwani alikuwa na visigino vinne, bila magoti?
Kazi kwake
Yani wewe ulikuwa unafikiria huyu kijana alikuwa ameokoka? Kijana amekuwa commercial from the beginning ni vile ni mjanja aliona akiingia gospel atanukisha kitungu more than kuwa commercial.