Willing buyer seller

To this day…sijawahi elewa how people sell and buy what they cannot own…

Eg. How was Alaska sold by sijui Russia to yues…wadau on the ground bila kujua…

Same way Africa ilinunuliwa na ikauzwa wadau bila kujua…:D…it’s ridiculous…yues pia ilinunuliwa na ikauzwa sijui Louisiana purchase…by funny characters

How soon before 254 iuziwe alien…the land you buy…who owned it to sell…na alinunua aje kwa nani

Sasa mufukcransa aliuza kitu hii aje :D…na hata sii yake :smiley: jokes

[ATTACH=full]487824[/ATTACH]

Because at that time land was used in exchange of other lands by the colonists

History hunibeba fala sana … Sasa nani aliuza hii…kiaje? Mabroker wa kitambo hatari
[ATTACH=full]487827[/ATTACH]

Tuseme ukweli…hakuna kitu kama willing buyer n seller…ni uwizi…

All Kenyan land should be repossessed by wanjiku…nobody sold or bought land really

Should I clap , atleast kichwa haijajaa mavi tu

Sema tu hauna ploti.