What has Sakaja done so far in Nairobi!?
That is how Nairobi changed under NMS
What has Sakaja done so far in Nairobi!?
That is how Nairobi changed under NMS
hakuna kitu sakaja amefanya ama atafanya. Nms laid all the ground work ukiangalia nairobi sasa almost everywhere the sidepaths are paved with coloured cabro from cbd all the way to suburbs. Kama ni uhuru park hio ni kazi uhuru aliwacha amelaunch, ile kitu sakaja anafaa kufanya ni kuorganise garbage collection na mabo na hospitali. Mambo ya infrasructure hio ilifanywa na nms
Yaani, in terms of Manifesto yake, are we expecting anything. If Nairobi could have continued on the same trajectory 5 years could have been wonderful.
NMS constructed Grogan Road, but now it is an eyesore!!!
Kura talks of having improved roads in Kileleshwa example below
[ATTACH=full]488740[/ATTACH]
optics tu hakuna analysis
Sakaja ni kumbaff and his legacy will just be confined to closing bars in estates