Wilfred Bony kujiunga na simba sc ya Tanzania

Baada ya kumchukua meddy kagere sasa wekundu wa msimbazi,simba sc wanamsajili foward wa zamani wa man city,cote d ivoire international player,Wilfred bony
Pichani akiwa katika pantoni jijini Dsm akivuka kwenda kigamboni
[ATTACH=full]180085[/ATTACH]

Can they afford the salary? If i was Bony I could head to China kuna pesa huko. He has a bad agent.

Fake news, Huyo ako holiday Zanzibar.

Stoopid fools from Tigoni

mbona hasira yakhe? au una undugu na bichwa magu fool?

Or even dutch or turkish leagues…

simba sc sio ya mchezomchezo,MTAPATA TABU SANA.

Au ni Bonny Bonoko :slight_smile:

I think so. They just cannot afford the salary. Watafute Oliech.

Huyo Mende Kagere ndiye nani?

[ATTACH=full]180097[/ATTACH][ATTACH=full]180098[/ATTACH]player wa gor sirkal. from Rwanda.

Niaje Ujimoto…

poa, ngombe ya Wenger, leta tips tukamue muhindi

wawawa Sweden topping the group.

Si kweli

Impossible