Wikipedia Ya kiongos

Kuna mtu amejitoleanga tu kumuanika internationally. Kila saa akiingia meeting na kiongos mwingine aamue acheki huyu ni nani anapata tu madeal za shamba hapo zimeanikwa

1 Like

It’s first time nimengia Wikipedia kuangalia huyu mtu wako . The profile is beautiful per @johntez_addi_gaza_ms standards

Jabas sugu kweli

na guka aliamka 4 am kukasirisha njaruo to vote for this criminal :green_emoji: :green_emoji: :green_emoji:

kukasirisha uhuru na jaruo is part and passo of doing the work of god.