Ukipata dem anajua ati asubuhi kabla apige start lazima avurute choke ndio carburetor ichangamuke, asikumalizie betri…
[ATTACH=full]193142[/ATTACH]
Dem anajua ile something ya coins haina pesa, ni extra kit ya master cylinder ya clutch…na bolt number 10 na washers ziko na kutu…na any screw that falls must be put here…
[ATTACH=full]193143[/ATTACH]
Dem anajua kwamba kufungulia mtu wa petroli hood ati, “Mbele iko sawa?”, is just as bad as kuinulia msee wa kuchoma mahindi skirt yake?..juu utazusha ile mbaya…
Dem anachukua tally ya madent akitoka na akirudi?..kama kuna moja extra ni ngori…
Dem anajua kubembeleza gari yenu mzee?..juu upus kidogo na carbs zinaoverflow…
Dem anajua kukanyaga pedal zote tatu, clutch, mafuta na brake simultaneously, juu idling haiko sawa na pia handbrake iko 16%, na betri pia 16 kama VAT so anapanda mlima ya Mbagathi Way kama amekaza rasa asipate jam…
Ukipata dem ka uyu…
Dunga yeye boll. Usingoje.
Jakipara, of late you are slowly sliding to be a “mechaphile” or a “metroxesual”. Fanya hivi wake up and chukua hii wife materiel iblis…:D:D
[ATTACH=full]193185[/ATTACH]
You need to reconsider my offer for the prius.They have a newer model with as much hp as a Toyota hilux…I’ll wait jatelo