I also don’t have an idea.
I heard the vibrations make them…
ni mapenzi au ni mwili kuitisha attention bila huruma?
Nduthi men ni hatari.
Epukana na wao.
Fiksed
Hehehe, hapana sio Mimi ni rafiki ya rafiki yangu aliona tortoise yake amebebwa na nduthi ile sports bike haga imejiinua juu mbaya na ameshikilia @introvert kwa kiuno.
uyo anawe mkono na yaishe.
Kitambo ukipata mkuki nje ya nyumba unajua mzee yuko, siku hizi ukipata pikipiki jua ‘mzee’ yuko
Kama majamaa wa movie shop. Akina @10000 OTHERS
Mbona pink handles are giving this thread a wide berth?
Everyday bitten, everyday shy
what is nduthi? Explain in eglish please
Hio ni lugha gani?
English you nazi