Why transport military trucks on other trucks?

Can’t they trucks just be driven to nairobi ?

Hizi ndio jambazi ameenda kusign UAE kuresupply Sudan Para military…Sodom wamepiga Chad na RSF sanctions.Sasa kumbe zinapitia hapa zifik sudan.

Someone should tag US Embassy na mzito blinken.

1 Like

Hii ikifikia the Sodom puppet masters wa Kasongo,ameamua kuwadefy after sanctions
UAE ressupplying Sudam RSF responsible for enthnic cleansing genocide.,watamrusha nje…Hio ndoo chance ya kuwakosanisha…tupige kelele tutag…Biden/Trump/Blinken na Pentagon.Watupe puppet yao kasongo kama vile walitupa. EVIL Mobuttu sseseko

2 Likes

CIA activities in the Democratic Republic of the Congo - Wikipedia.

Maybe ni za Congo juu naona Zetros hapo so lazima zimetoka Ujerumani. Kama ni UAEmirates imeuzia RSF, kunaweza kuwa diplomatic issue huku mbele.

1 Like

Kasongo ni mjanja anaeza jifanya zinaenda Congo zikifika kwa mentor wake M7 zidivert …hapo north Sudan.Hapa kina scandal moja hatari inaload…ashakula pesa ya Mfalme…lazima afanye vile wanataka.Ni milaya ya siasa…

1 Like