Why the Hekayas died? Kwa nini?

Hii place kuna time ilikuwanga na hekaya safi tu sana. na zilikuwa zinakuja kama hata tatu ama nne hivi in a day! I remember reading some hekayas from talkers like kina @Nyarwath nacheka wiki nzima. What happened?

Nimekuwa nikitaka kuweka hekaya zangu…za ukweli lakini najua kuna ma CSI watashindia tu za picha ama it never happened, sijui weka infrared, uv scan, gamma ray chieth…ati you know the drill :D:D:D:D. Hiyo rende mnajijua. Hii place imejaa doubting Thomases. Lakini hekaya niko nazo, za ukweli…most of them ni za kutembeza kalamu wino kunyunyiza…kama unanielewa.

Likely kama nikiona bado hakuna hekaya hapa nitafungulia. Watu wa infrared na gamma ray wajinyonge siezi weka picha ya dem hapa. Siezi anika dem hapa. Labda kascreen shot kamoja hapa na pale…etc.

Anyway. Villagers tuamshe hekayaz. They make this village lively.

they died because of the effin blogs copy pasting to their blogs, utapeana hekaya moja safi then 10 minutes later unaona link imerushwa huko kilimani mums

in 20yrs tangu ujoin hujawai weka kitu ya maana hapa, complains tu kaa slayquin ametumiwa 50 bob ya fare.

huyo dame tulimchangamkia sana hadi akatii
wanakijiji sio mchezo

:D:D:D:D

Kweli kabisa. Lakini kuna time siku za klost niliweka hekaya. Kidogo CSI nikaona wameweka pale chini tu saa hiyo…“aaaaa, hii umetoa pale ISG…” Kweli, ilikuwa ISG, but huko mimi ni member na mimi nilikuwa nimeweka, mimi mwenyewe. Majma hawakuamini mimi ni member wakazusha. Heheheee… Hata mimi nikazima taa. Niliwaambia mafala kama wanataka kusoma hekaya waende kwa blog yangu wasome huko. Sikuwahi post hekaya klost tena.

[ATTACH=full]258245[/ATTACH]

Vipi cheupe? Rudisha blog.

:D:D:D:D:D Cheza chiiiiiiiini chiiiini bro

siku hizi kuna mjinga anaitwa @Macharia wa kamau anajaza server na umeffi yake

Hekayas died when Mr.Slices and @Meria Mata left kenyatalk huyu meria sio yule wa kitambo

Can the real @Meria Mata please stand up?!

@village chieth kuja hapa ujitetee

Hekaya ziko ni vile unaboeka kuandika halafu majamaa nikutoa makosa tu

Yule kijana Newton alienda wapi? Alichoka kuwa anonymous akajianika sura one touch. Funny chap.

And then no one gave a fuck and he got angry and left.:smiley:

Alipata Bibi akikulwa kwake.

Kuna link omwami ? Must have missed it…

Hio ni hekaya ya kitambo but I can’t locate it. Isaac Newton Sonko sijui alienda wapi.

What faggotry is going on here?

[ATTACH=full]258277[/ATTACH]

kusema ukweli ni kuwa every steamy story is posted kwa mharo inatwa https://www.kenyan-post.com/ & then u wonder how are we suppossed to preserve our anonymity when everything you simulia hapa iko kwa blogs