Na wewe utaleta hekaya zako lini apart from za butchery and pigsty manenos…
:D:D:D:D:D:D
Sasa wewe … Juu unavaanga goggles 24-7 utaona the right entrance kweli ?
Staki !
hata mkia atapita nayo,cursed generation
Wapi hapo…kolongolo?
@sani…Niko kwenyu makutano…kuja elgonia springs saa hii…nikununulie drink…Kuna mwalimu mukwijit primary nangoja atoke shule tukafanye bad manners hii long weekend.
Namanje… but karibu kolongolo…:p:D:D:D unajua hizo sides
Yes…
Mwithaga, wueh
Forkland ya Kitale?
Yes… Kuna joints poa sana za busaa
Mwacha mila ni mtumwa…chembilecho wahenga na wahenguzi
Wewe ni mijinga.kwani after kutumwa kwA the first homestead ukalete ng’ombe haungetirokea the other side? Au zote zilikuwa na high perimeter walls?
Ndio nimejiuliza.
Ama kama ako kwao you piga nduru to alert locals kuna wezi wa ngombe.
1.Boma ulikuwa na fence ya miba( thorns) except hiyo gate unaingia
2. Mtu akikubebea bunduki pointing at you na torch utatoroka aje? Bora uhai
Boss hawa pokots before waibe…wanapiga risasi kadhaa kwa hewa… bukusu gani itatoka nje na the way these guys are cowards…
Oooh…I get it now.
Wueh! Tricky Sana.
Clitless
Yaani utoke namanjalala Hadi matisi juu ya busaa enyewe pesa ya maize factory inatesa