Why Most of You are Walking Around with Distended Stomachs

https://x.com/ngughii/status/1752759038951989588?s=20

Kautambi lazima

2 Likes

Six in one super cube lazima mambo ya kukaa kama mende na six pack wachia pretty boys

2 Likes

Typical okuyu delicacy. Last year hapo ma august ivi tulifika pale sabasaba, muranga county. Place iko sawa very green. Father in-law alikuwa amewalika watoi wake wa meet mathake (shosho yao) alikuwa na mazuri yao, sasa ilibidi pia mimi na another shem kama son in laws tujifikishe huko tusiachwa nyuma. Walituandalia food sampuli hio na mashafashi banae na soda na CHAI. Niliambiwa CHAI huwa haikosi na huwa muoto kwa thermos. Anyway haikuwa experience mbaya though nili expect minofu kwa wingi juu hata nilikuwa nimebeba pilipili.

6 Likes

Lakini wasapere wanapenda carbs saidi.Mtu ana serve plate ya rice mingi kama mount kenya.Halafu anaongezea viazi na supu zake ndio plate ikue refu kama mount everest.Halafu anamwaga nyama na supu on top ndio ikae kama melting snow.Mbona kitambi isitokelezee.

6 Likes

Niliwai enda harambee ya dere flani org nilikua najob time flani in the past… daughter wake alikua anaenda uni lakini fee ilikua shida kidogo so alituitisha tumsaidie na vile ni msee alikua roho safi tukaamua kusaidia. Maze kufika venue, tuliletewa overboiled mokimo yenye basically beans ilikua imeoverpower everything else, alafu ilikuwa na side ya kabichi overcooked. Later tukaletewa chai na soda alafu harambee ikaanza.

MC aliamka na kusema “tumekula, tukanywa sasa ni wakati wa kusalimiana na bahasha”

Sisi wenye sio kiuks tuliisha ile mbaya. Our journey back to Nairobi ilikuwa kicheko bana.

10 Likes

huwaga minyoo na constipation

1 Like

A good experience. Umoja huwa nguvu. Huwa naambia wasee hakuna kitu mzuri kama umoja. Watu ndio happiness unakuwa na so many friends from different tribes (places), unafikanga ma ocha kwao unaona nika tu uko home. Kicheko kwa wingi unaishi ukikumbuka.

6 Likes

Shiny eye have prime fertile land lakini chakula ni ya jela

4 Likes

That is a very balanced diet with carbohydrates (maize), proteins (beans) and vitamins (cabbage and carrots). It is exactly what doctors recommend for perfect health.

1 Like

Any food will stretch your stomach if you routinely overeat. You should eat when hungry, not as a pastime.

7 Likes

Hii ni chakula ya kutoa hangover. Kwanza uweke pilipili mingi na usindikize na chai moto. But it doesn’t count as a complete meal for me. My meal must have a lot of proteins. Both animal and plant proteins , some fruits, vegetable salad, juice or milk and carbs

1 Like

Lakini si mahindi iko kwa githeri already.

7 Likes

@Mbochkiburi , come share a highly peppered dish with your match

2 Likes

Mnalalamika k7husu chakula ya wakikuyu but hamjakutana na ya wamaasai. Worst food nimewahi kula. Still traumatized since 2014.

3 Likes

Kwani ulipewa damu mbichi na masigwa haijachemshwa?

Man, that sounds like a meal for a leopard’s cub

1 Like

I know you haven’t factored in the flies angling to share the meal in the process! If you open your mouth carelessly, some of them “may” wander into your mouth and flavor your experience further.

1 Like

Nikiwa uku kwa wasapere siezi risk kuitisha food kama ugali bana.

Nikiwa mboka izi ma area za cendro nimeingia kibandaski nimeambia uyo mama if aneza pika sembe tukule na na nyama tulikam nayo. Uyo matha ana pika kitu inakaa uji ati ugali iko chonjo…
Nikamshow io si ugali amepika… Ilibidi nimeeka heshima kando nipike nisikule vitu sitaki.

2 Likes

Unfortunately, I don’t like peppers much.