Why Magufuli will fall miserably.....

No government in the world has managed to successfully ran any profit-oriented business. The only thing related to business any government should concetrate on is ensuring conducive business environment whereas the private sector thrives. The government would then collect taxes to finance public goods.
Magufuli is doing precisely the opposite! He believes his government can ran successful businesses, lock out the private sector but collect taxes!

Hata yule mfugaji illiterate akitaka kuchinja ng’ombe wake huanza kwanza kuuliza jirani zake ili ajiridhishe kuwa kuna idadi ya kutosha ya wanunuzi kabla ya kuchinja. Magufuli yeye anachinja kwanza halafu anatafuta wateja wa nyama

Umenifurahisha hapo uliposema kuwa Magufuli anachinja kwanza Ng’ombe ndiyo baadaye anatafuta Wateja…

Ndicho anachofanya katika ujenzi wake wa viwanda, hivi kweli ameshafanya feasibility study na kujua kuwa bidhaa zitakazozalishwa kwenye viwanda hivyo zitapata soko?

Mbona tunavinjari kiJF zaidi ya JF OG. Ahsante kwa kububujika. Magu aka Jiwe ni janga tulilolichuma tutalila hadi litushinde.

Elimu na uwezo wa kupambanua mambo hasa katika Dunia ya leo ya Utandawazi bado tatizo sana

Uwezo upo ila matumizi ya mifupa ya albuno imempofusha.

Mmeanza ngoja niwafungie na huku.

My dedication to Magufuli and his cronies today

If we must die, let it not be like hogs

Hunted and penned in an inglorious spot,

While round us bark the mad and hungry dogs,

Making their mock at our accursed lot.

If we must die, O let us nobly die

So that our precious blood may not be shed

In vain; then even the monsters we defy

Shall be constrained to honor us though dead!

O kinsmen!

We must meet the common foe!

Though far outnumbered let us show us brave,

And for their thousand blows deal one death blow!

What though before us lies the open grave?

Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,

Pressed to the wall, dying, but fighting back!

Source: Claude McKay, “If We Must Die,” in Harlem Shadows: The Poems of Claude McKay (New York: Harcourt, Brace and Co., 1922).
“If We Must Die” Claude McKay (1919)

Hawezi kutuua kama nguruwe we are fighting back… sasa ametupa sababu hata tuliokuwa kimya

Mbaya zaidi tulishajaribu serikali kafanya biashara awamu za nyuma hususani awamu ya kwanza na mwisho wa siku ni hasara tupu.
Once again I blame Nyerere and his socialism experiments on our country, it’s so sad that even today people like magufuri believe that it can work.

Mkoloni Magu

Hilo ndilo tatizo la watanzania na waafrika kwa jumla.leo nimesoma gazeti moja likisema waanzania watumiaji wa facebook na youtube,wale wanaoweka “contents” zenye mfumo wa habari wanatakiwa wawe na leseni,…:eek:.

Ukiangalia ni tabu kujua hii serikali inawapeleka raia wake wapi…,kwa mawazo yangu mafupi nafikiri serikali iantaka watanzania wasiwe na “access” katika habari za mitandooni,…CCM janga la taifa,Tanzania bila ya CCM itapiga hatua sana

Angekuwa na akili za kutufungia hata huku basi asingeogopa kuhojiwa, kukosolewa na kuikubali demokrasia. Ni inferiority complex alionayo (anajijua uwezo wake kuchanganua mambo ni mdogo na ukiongezea na kushindwa kuongea na kuelewa English ndio kabisa confidence ya kukubali kuhojiwa inayeyuka). Ndio maana anaogopa kusafiri nje ya nchi na kutumia ukatili wa kila namna kwa raia wake.

Angekuwa na akili za kutufungia hata huku basi asingeogopa kuhojiwa, kukosolewa na kuikubali demokrasia. Ni inferiority complex alionayo (anajijua uwezo wake kuchanganua mambo ni mdogo na ukiongezea na kushindwa kuongea na kuelewa English ndio kabisa confidence ya kukubali kuhojiwa inayeyuka). Ndio maana anaogopa kusafiri nje ya nchi na kutumia ukatili wa kila namna kwa raia wake.

Angekuwa na akili za kutufungia hata huku basi asingeogopa kuhojiwa, kukosolewa na kuikubali demokrasia. Ni inferiority complex alionayo (anajijua uwezo wake kuchanganua mambo ni mdogo na ukiongezea na kushindwa kuongea na kuelewa English ndio kabisa confidence ya kukubali kuhojiwa inayeyuka). Ndio maana anaogopa kusafiri nje ya nchi na kutumia ukatili wa kila namna kwa raia wake.

Magufool…hawakukosea walompa hilo jina…yan Magumashi fool!

Namshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, furaha niliyonayo sina jinsi ya kuielezea, long live Jf, watu wanaumwa kwa kukumiss huku nyumbani, am happy to see you again jamii forums, roho mtakatifu kaniongoza hadi nimekupata lol!

Endeleeni kujipa matumaini hewa ya mitandaoni…

Bila ya watanzania kuingia barabarani kuomba uhuru wao,CCM itaendelea kuwanyanyasa raia…,Mfano mdogo unaonyesha kuwa hii serikali haijiamini angalia vipi walivyojaribu kuzima maandamno ya Da Mange Kimambi,walifikia mpaka kusema kuwa watawapiga watanzania kama "mbwa koko"…CCM hawajali raia, wanajali maslahi yao na watafanya kita kitu wabakie madarakani kuwatawala watanzania

It is just a matter of time. Hata nyie mnaomshangilia nafsi zenu wenyewe zinawashuhudia ukweli uliopo. Ni mpumbavu pekee ndie anaweza kumshangilia mtu anaesema kaingia madarakani bei ya kilo ya sukari ikiwa Sh 5,000 ila yeye kaishusha hadi 2000. Ni mpumbavu pekee ndie anaweza kumshangilia mtu anaeamini kuwa unahitaji kuwa na ndege zako mwenyewe ili watalii wanaotaka kutembelea TZ waongezeke (as if sasa hivi watalii wanaokuja wanatembea kwa miguu wajapo), ni mpumbavu pekee ndie anaweza kushangilia na kukubali kuwa makusanyo ya kodi yanaongezeka huku biashara zikiwa zinafungwa kutokana na sheria za kipumbavu; the list goes on.

The bottom line is; eventually atakosa hata hela ya kuwalipa mishahara yenu mburula nyie. Historia imejaa mifano ya huyu mtu (Mugabe, Mobutu, Amin, Maduro etc). Nyie mpigieni makofi tu ila kuna siku mtalazimika kukubali mnachoambiwa leo.

Magu has failed miserably to silence the voice of the people. Magu ameipa JF umaarufu zaidi .

:cool::cool: