Why is it happening

I forgot to put on my belt today.

Now this is amazing,the pants are not falling but the ngotha keeps falling.Kama saa hii imeanguka I have to keep pulling it up and being someone who moves around inasumbua.

Note that when niko na ngotha pekee at home,huwa haianguki.

Wacha nitafute gents hapa Alyusra niipandishe tena,I will I could get a blagger/nyoginyogi niifunge

What kind of science is this?

If you are a saint don’t comment

Vaa mothers union pole pole myamaa

Wacha kuvaa ngotha oversize. Jua size yako bro!

Did you need to engage Ktalk on this?

[ATTACH=full]239921[/ATTACH]

Nugu ya jike…i.put that last statement specifically coz of you,you are so,hhhh so predictable…Unafaa kuwa mbinguni kando ya Yesu wewe mwenye haunaga dosari…meffi…ebu leta mawaidha ama uende ukiendaga

Tiny one yaani umeniita mwanamke is short

Sasa unataka tukuje tukuvalishe ngotha? Kimakia wewe ni homosexual tu.

Ubaya wa kununua ngotha Line Saba jioni when the train is hooting.
:D:D

Kikikkiii,Siku hizi ayubu wa kuzinunua ameisha.

Shida ni trouser za Eastleigh, una-sweat boxer inakuwa mzito kama diaper.

Ngotha is a white man invention designed to keep the blackman’s spermcount low say no to thangos enda commando !
As for the science of why it’s falling it needs a special myth busters extended version episode !

tell us more

Unafaa unitafutie jina ingine,homosexual haina ladha tena.Karibu pork hapa Thika porkies

Kihii giki gura kanungia mai size yaku.

Hii ni side effects of joining the AMG

Kihii ni nyukweee

Nimelose weight,bibi yako akinikuja laini na binja yeye hutawai muona tena.

All the best kaka braza. Just know my wife is a female