Why do Tyrones leave the stickers on their hats?

And keep a flat brim?
[ATTACH=full]464365[/ATTACH]

I prefer this look tbh
[ATTACH=full]464366[/ATTACH]

My head is proportional and i dont need a cap. kama kichwa yako ni hii
[ATTACH=full]464371[/ATTACH]
you defenetly need a helmet kindoff a cap

:D:D:D

:D:D:D
[ATTACH=full]464375[/ATTACH]

New school vs old school.

wanaweka sticker ndio ikae mpya

ukiosha once, of course sticker inatoka. sasa ukiwacha sticker on, utakaa birrionea mwenye anavaanga kofia once na kutupa (but in reality umevaa multiple times bila kuosha)

Wajaluo. @Agwambo this is an honorable mention.

Na Kwa nini watu huacha airport tags kwa bags mpaka zimechapa and still walking around with them?

Watu wa sahunya (safari boots) mbona huacha ile sample leather hanging with the shoelaces?

Watu wa suti za Eastleigh, mbona huacha ile tag ya suti kwa wrist?

Hizo vitu zote mumetaja hapo juu … share one thing in common; tabia za peasants. Kuanzia Tyrone… hadi watu wa suti pale Eastleigh. Elite hatunanga hizi mashida…

Huwa munarock hizi?
[ATTACH=full]464435[/ATTACH]

My last ngepa was a Kangol…many years ago. Nowdays ni kunyoa balk…used to say kunyolewa nyungu