Na si mara ya kwanza.
So nilikuwa nimetoka mtaa kiasi kupatana na boyz fulani mrussia anaitwa Luka. Kuna ka biz tuko na yeye. Boyz mwenyewe anaka mtaa ya ubabini inaitwa Roseneck (huko nikama lavington ya Berlin). Mimi huyo nimeingia Underground train. Nacheki ma mwoman wawili wakenya (i knew juu walikuwa wanabonga swahili). Kumbe mwomen si wa Berlin. Wametoka town fulani ya ocha ocha hapa ujeru and were visiting Berlin for the 1st time…sijui wamekuwa invited for a bash na wako huku hadi sunday. Sasa mafala zilikuwa zime lost.
Naziona zikiulizana while looking at their phone kama wako on the right route. Nkaskia wakisema wanataka kwenda Leopold platz. Nikawaonea huruma juu they were completely lost so nika intervene. Nika washow warembo mko in the wrong train. Nikatoa phone yangu ya pawa and opened an app inaitwa offi -directions (ni app ya directions ya Berlin). Nika type in location tulikuwa and destination. Nkawashow tushuke next station ndio wa connect. Sisi hao tumeshuka…tumeka chini as i try to explain which train to take…where to change and board the next etc.
Nishawasaidia…ati aki thanks. kidogo kidogo mmoja wao asks me “Wi Mugikuyu?” nliskia kumpiga RKO lakini walami walikuwa wengi. Nkamshow zii mimi si mkikuyu. Ati haiya na unaka kama mkikuyu? Alafu wanachapana ma hi-5 wakiulizana si anaka mkikuyu? zikicheka…Bahati bahati tuu simu yangu ikalia…it was Luka …akaniuliza “Wo bist du?” (where are u). Nkashow izo shining eyes i needed to bounce. Ati si utupatie number yako…
my reaction after waliniuliza number
[ATTACH=full]63438[/ATTACH]
Do i look like these pple aki? ona kwanza hio imevaa jacket…NO NO banaa
[ATTACH=full]63439[/ATTACH]