[ATTACH=full]486511[/ATTACH]
Hawana fence
Nikama hawataki matatu zibebee hapo nje.
Story za Kamulu, Joska na Kitengela ndio zilifanya watu wadai own compound and ish.
Ploti maguta maguta
Mombasa kuko ivo pia
Their countries are secure,petty crimes ni kidogo.Jaribu hapa Kenya chokosh watakuwa wanakula kwako.
Shamba ndogo ndogo… na pia ploti huko ni expe sana.
Broti maguta maguta pale nimesotta ni kama how much, nifanyie quote ya certificate na ya title kama umeweka za macho ya registrar wa huko.
Ktalk Urban designers watuelimishe
Unaweza kula mboch wa jirani bila effidense
Ploti ni cheap sana huko. It’s just that people realized they don’t need more than what their house occupies and a small extra space to busk in the sun. Mambo ya 1 acre ati ufuge kuku pia na mbuzi mbili, akuna haja.
See what happens when people without degrees try to answer such complex questions.
Those are villages from the Victorian era when Europe was fast urbanizing and planning was nada. The road is formerly a village path that connects to other villages and it just happens to have been tarmacked
Sawa mkuu, tuambie bei ya ploti pale London karibu na Savoy… in fact tuambie ulikuwa unalipa rent ngapi ndio ufike major town in less than 40 mins total.
Ati complex question. :D:D
Ploti ni cheap places ziko ushago za huko… na btw hizo base ni kama tu hapa Banana ama 87, watu wanafuga hadi sungura wadishi. And trust me, ambia mtu pale 1 acre ploti + nyumba utaskia bei ushangae.
Huku Yues 1/2 acre is Ksh 700k (USD 7,000) kama hii buroti maguta maguata kule minnesora. Same plot in kenya would go for Ksh 4m. What is wrong with kenya and kenyans?
https://www.zillow.com/homedetails/L13-B7-Blue-Ridge-Dr-Pequot-Lakes-MN-56472/2067063139_zpid/
Zoning laws. Makes road access, waste management, power, water provisioning, etc much easier and cheaper. Also mail is delivered to your door. conserves land too.
Imagine if everyone in kenya had house next to road: we’d save lots of pipes and power wires.
This is actually not a good idea, even in developed nations. Imagine families with kids playing, kicking balls. How many would be killed. It’s a very old world kind of design for towns outside large cities.
Wewe pia nimeamini hauna degree vile @Sambamba amesema. Just look at how you analyse and process complex issues. Your reasoning is pedestrian and devoid of any.logic.
Wasee wengi like living in enclosed communities. Not on the road. Uliza @Jack_Black.
Hakuna kelele ya nduthi ama hawkers wa dawa za.panya namende.