Since talkers know everything, naeza pata wapi whisky at wholesale prices. Need about 8-10 bottles ivi za peasant whisky
pesant whisky ni gani hiyo? kwa mtu kama amun peasant whisky ni JW black. kuna wale pia Best ni whisky kwao. Weka brand names unasaka utapewa jibu
Glenfiddich 12yrs 3800…11lttr
Famous 750…1450
Famous 1ltr…1650
Martel vsop,remy Martin 1ltr…5300
Glenlivet 12yo 1ltr…4500
Henesy vsop 700…5400
Nipate telegram @magix254
na ile umbu @Mosa-deh whisky yake ni gani :D:D:D:D:D
Best
Imperial blue
Macmohan
Vat 69
Bond 7
8 pm
hehe huyo Legend ina tick boxes zote brandy na whisky
Are you anywhere near the Ruiru bypass? I know some lady ako na deport she sells at very friendly prices. Kama hutakua umepata by afternoon I will pass by there I inbox you her number i.e. kama uko hizo area.
Na kwa Kihii Kiganu whisky ni gani?
Ahahhaah… aty legend. By tha hujakosea sana… sisi ni watu wa cham aka changaa
Kuna undisclosed lokeshen hapo street ya njoguini kwa @Kihii Kiaganu. mahali unapanda stairs 2nd floor kwa ka ofisi kamejificha. very good prices for high priced whiskys. Otherwise enda tu luthuli avenue backstreet pare Liquour square
Nipe number pale inbox…nitapitia hapo
sawa nitapitia hapo around 3 PM I get her contacts then get back to you
Wah! Si watu hukuliwa sana… Landing cost ya hii kitu inakuwanga 1800
Hii ita kusaidia? Una ipaka kwa mkate ama sandwich
[ATTACH=full]168936[/ATTACH]
inbox contacts mjamaa, do you deliver?
:D:D:Dikifika hapa enda rehab
Buy 4.5 litre bottle one time and forget if it is for consumption unless you want to open a retail outlet:
Jameson 4.5 litre 14k
Johnny Walker Red 4.5 litre 11K; Black 19K
Chivas Regal 4.5 litre 21K
Hizo enda Rwathia distributors
11liters? How now?
hizo sio whisky za kariobangi lite industries? if not leta coordinates tukamate stock ya bash next week