Ni pesa za drug Lords ama ni collabo ya Ruto na Gachgua?
Hustler fund walisema watu wamekopa 20 billion. 3.5% of all that money is not redeemable until ghasias reach 65 years :D:D. That means NSSF wameingiza 700M from hustlers so far.
Simply put, hustler fund is a forced contribution to NSSF. The government also makes money by charging interest on the loan.
Sasa 500bob ni ya nini surely
Ruto not answering the structure question on hustler fund
Who owns it,?
Konyagi had a similar opportunity but he chose to oppress us.
Mimi nimekopa x10
To buy what?
Ya kulea hustler stock ya mahindi ya mutungo, jamaa wa kahawa ajipange nayo, mama mboga usidharau pesa
Why would he choose to answer?
Si amepeana Pesa? Na WA kulipa walipe.