This is misuse of communication devices and matusi
4 Likes
Huo debt collector ni commission based salo. Ukikosa kulipa hio deni analala njaa
the best medicine huwa kupigia ao vijana simu, uwaitie kazi ya maana, na uwaambie wakiendelea kufanya kazi duni ivo ya kutumia watu sms, hawatakuwa na future.
wao hupiga simu 250 per day na hawapeagwi off day ama break kazini, wanadhalilishwa.
3 Likes
Utawapea aje kazi na uko na deni yao ya 2k?
6 Likes
Asi!
Hii Kijiji imejaa umaskini tu
Just call Saul !