Who is William Ruto?

Kuna madam Lawyer amekuwa akinichapia leo morning eti Ruto ni mtoi wa moi… Zile namchapia no way, ruto is a self proclaimed son of a peasant na hustle yake ya kwanza ilikuwa kuuza kuku pale sugoi… Ndo akaniuliza, who do you think introduced ruto into politics? Who do you think paid his fee at UON… Sasa yenye imeniweza ni pale amenishow nijaribu kucompare sura ya ruto na moi… To sum it all akaniuliza why i think Godeon moi is ever so bitter at Ruto… Coz he’s the legitimate boychild na hii ingine ilikuwa mbegu ya moi ya kusambaza… Wueeh

sasa umeana udrag hio ujinga yenu hapa?

Good theory but Ruto ni son ya hustler who just happened to be in the mix when YK '92 was being crafted. Hiyo ingine yote ni history.

Mosa unasumbua

umeffi

upuss

Hii ni Ujinga ya kimataifa. aka world class foolishness.

meffiiii

This is certified high grade bullshit

Baba Abby is a self made guy! Amejitafutia vilivyo.

na ataenda far…

Meffi

going by the same analogy, basi Uhuru ni step brother wa Ruto.

All in all this will remain RWNEEBPOK .

Ulidhani kusema lawyer ndo amekusho itaifanya ikue conspiracy theory. You have to dig deeper my fren. Ama namna gani?

Ruto is just a street-smart son of a peasant…he knew how to take full advantage of the wakubwa he came across while in campus…He was Jirongo’s errand boy…BTW: I once met Jirongo sometime back at the reception of the then Minister for higher education queuing with dusty constituents from rift valley to see him nkajua kweli dunia ni duara.:D:D

and do you know the reason of not comprehending her arguments ?? ni juu hukua umevaa leso na kamisi.next time be in them .SAI’TAN

Hapa hata sisi team uotp tunasema hii ni umeff, boychild Arap plots ametoka mbali hata kama kuna ukora, enda kwa mukuru wa Jirani upeleke mharo.com huko.

For sure man

UPUSSSSSSSY