Who Did This?

[MEDIA=facebook]id=828976443924571;type=video[/MEDIA]

Wueh! leo umepost kitu ya maana sanaaaaaa!

Sponsor niwachane hehehehe. Nimeanja urefi circle mapema.

Tindikiti always has my memories hurtling back to a ka-market called Bukembe…

Na wewe ulienda kufanya nini huko? Slices, I guess? Na changaa!

hapo ndio naenda Nappy Seal mode…can’t disclose more without kukosea aunt Metline wa Uwes heshima…

Kuna ile hekaya @gashwin aliwahi peana alienda Rongai ya Naikulu kazi harafu msichana akampigia simu by mistake. Wakaongea akasikia msichana ako Rongai, ufisi ukaingia na Gashui akapanga date. Wakati wa kukutana waliulizana uko wapi mbona sikuoni, kumbe msichana ako Ongata Rongai na Gashwin ako Rongai ya Nakuru Cownty. Huyu Mungu wa Guru ni Mungu wa ukweli

Nakumbuka hiyo. hehehe

:D:D:D:D:D:D:D:Dsome things are surely arranged by Satan himself bila ku-delegate…dame alisema “hii sasa ni kazi mbaya”, akiwa very disappointed…

Kwani you used to work at Nzoia Sugar?

Kuwa sincere; you were just paying for all those years of doing the same thing over and again. Sio Kuria, Sio West Pokot, sio kwa Dina, sio Bukembe. Wewe ndio the legit, “I got hoes in different area codes”! Na usijaribu ile ufala ya modesty hapa.

hapana…bungoma/busia north…

it was a life!:slight_smile:

@gashwin ako hivi

https://www.youtube.com/watch?v=cvrKzmkdBTI

Exactly. In fact, naweza onya hawa talker wako less than 21 wachunge sana… pengine @gashwin ni mzazi wao na hapa wanamuongelesha tu vile wanataka! :D:D:D

ningeita @Mzee mzima lakini ni mtoi wa @FieldMarshal CouchP

Hii Tindikiti inanikumbusha Matisi - Kitale…ikiimbwa na another instrument called Litungu.

Hii sikuona hata! Nakwambia Mungu halali.

1 Like

Leta rink tafasari

:D:D:D:D:D:D