Kuna CS Kwa hii serikali ya Zakayo mwenye ameshindwa na kazi to the point Zakayo had to call the previous CS to help in that docket[ATTACH=full]496231[/ATTACH]
Kinyua perhaps?
[MEDIA=twitter]1626485885439975425[/MEDIA]
Aisha Jumwa amelemewa. Lakini kwa hii cabinet ya LootAll, who inspire you ?
Successor wa kinyua sio Aisha.
Margaret Kobia --------> Jumwa
Kinyua -------------> gosgei
Security needs a replacement ama