White copy paper

Habari ndugu,nahitaji white copy papers za jumla kutoka kiwandani,kampuni gani hapo kenya inazalisha mimi nipo Tanzania nahitaji kwa jumla

Kama hizi wananzengo

Wakenya nisaidieni