Which job do you fear the most?

For me, it’s being employed to drive someone else’s vehicle especially lorries and matatu. ATI lorry ikitoboka tires unakatwa mshahara. Jana I saw a case where a driver parked a lorry somewhere to eat lunch. Upon returning from the meal akakuta lorry iko na dent na mwenye kugonga amepotea. The guy had to pay for the damage

1 Like


2 Likes

Drivers wa malori hukipata.Nikiwa Mombasani kuna siku nilaindikiwa bond kuenda kotiko nikalenga.Walitoa warrant of arrest nikapelekwa basement cells za mombasa law courts.Nikingoja kupelekwa mbele ya magistrate kuna jamaa pia aliletwa kwa hio holding cell.Alikuwa ana overlap pale miritini halafu container ika anguka na lorry ika overturn.Mwenye lorry alijonga polisi wamshike akae ndani hadi ile siku atasema aachiliwe.So analetangwa kotini halafu anarudishwa changamwe.Simu alinyanganywa hata hajaongea na bibi.Alishinda tu akibeg nimpe simu apaigie wife wake amletee manguo.

1 Like