Where's @kidinyi

We miss zile hekaya zako zilikua zinakam na evidence ama alibadilisha handle ama alioa

Alikufa.

Moongose io CL vipi?
Man u vs psg x2
Roma vs porto x2

Man u GG
Roma over 2.5

man u NG*

Kidinyi deleted his account and all his stories its as if he never existed.

@Kidinyi is a legend
[ATTACH=full]224683[/ATTACH]

Bado ziko n

bro bado ziko I normally revisit the posts

Nashuku alioa

Man

U kichwa coz psg haina watu wa kutegemea kama neimar wako injury

@Kidinyi = @MwiziBora

He succumbed bro.
He was way too fast for his age. He forgot that life is a marathon rather than a sprint.

anameza M152

Na EBRUFICATION ilienda wapi

Hapa kijiji kuna snitches wabaya nashuku mmoja alimset.

are you sure?

Blame admi for kidinyis disappearance hii umeffi ya soft porn hard porn oh sijui nn unafikiria kidinyi angesurvive kweli na vile story zake zilikuwa explicit .

Kidinyi told it like it is