Kerosene ilipigwa taxes nyingi mpaka ikakuwa unaffordable itakuwa kama majuu inauzwa kwa machupa supermarket
1 Like
Hio koroboi ilikua kesho yake ukiblow nose unapata makamasi ni black. Soot ile imeingia kwa chest heri ata mvuta sigara
5 Likes
Never had the fortune to see one in use, ocha nikizaliwa nilipata electricity.
Halafu mecho ilikuwa red juu ya hio morshi.
The kerosene sold today in .ke is adulterated, i wouldnāt recommend using any kerosene powered gadget indoors.
1 Like
Taa ya birrionaires ungeguza hiyo white whick thats it