am talking of the super crisp clear files… usijaribu kutaja tubidy bcoz nitakupokonya hio simu.
Torrents.
mp3 na high quality?
mp3 juices as copied from you tube or search
Depends on the bitrate eg 96kbps, 128kbps, 256kbps, 320kbps or flac. The higher the bit rate the higher/better the quality. Best quality itakuwa tu 320. Flac ni better but most people hawana systems than can give you eargasmic experience with them
akina KMplayer zitacheza hii?
Yeah hata vlc hucheza Flac. Siku hizi all os provide support for flac plus most if no all too play flac files. To enjoy flac file ama hata 320kbps songs have some decent speakers/system ama decent pair of headphones. Kwa audio magwiji ni akina @Luther12 ama @kermit ama @incognitus na wale ambao nimewasahu
The reason why I prefer torrents ni juu songs za huko are properly tagged na pia the comments help. Hakuna kitu huudhi like non tagged songs, hata player haiwes panga vizuri. Na hii tagging ilileta issue between @Jimit na @screwplus
How do i specify that I want FLAC format?
Kwanza earphones zako ziko poa? Na kama uko na ampex kwa keja usijisumbue na flac.
Utaona tu imeandikwa flac kama uko Torrents
search your music
I think most 320 kbs mp3 files ziko clear enough for a non-audiophile.
I use torrents ziko na mpaka FLAC ukidai.
“name of song/artist/album” FLAC.
exactly, mimi I only do 320kbps. 256 only kama ni zile m4a za itunes
If you are using an Android phone to listen you should install “Dolby Atmos or Viper4android”.
You mentioned me at the right time, mi nauliza torrents inaeza kua na stuff latest, yenye ata ilireleasiwa 30 mins ago coz nataka kudump YouTube forever niendee torrents