Hii forum imenisaidia sana kupata legit leads.
Anyway, who knows where I can get kid’s toys in Nairobi at a wholesale price.
Ingia nyama kima huko Kwenye hawkers hununua vitu za kuuza. Hapo tea room Kwa hio stage ya neno shuttle panda Kwa hiyo building first floor next kuna shop. Kuna mjamaa anaitwa kangethe huuza vitu na wholesale.
Peleka kinyambis Kamukunji, huko ata engine ya submarine ukitaka utapata.
Kangethe hauzangi toys na pia huwezi zipata Nyamakima huko siku hizi ni electrical stuff hata watu wa cereals are being pushed out day by day.
Toys aenda kamukunji utapata.
Kumbe huyo mninja unamjua. Amenilea Sana.