Where can I buy a Xmas tree?

In Nairobi? The one that looks like a real tree. With lights and bells

:D:D :meffi:

Enda House of Leather but tayarisha mfuko na 80k.

(Xmas is commercialised and ummefi in my opinion)

Thanx will check there

Umefiii idea hio pesa tumia watu Ocha wanunue mbuzi/kondoo wakule.

Hujawai Kula Pisa hapo nyeri, sasa unadai Christmas tree

This is what happens when a shagzmondo whoโ€™s watched Home Alone one too many times sakas a few chums from Betika

Pizza ni ya teenagers. I eat nyama choma and Ugali my fren

Christmas tree ni ya wazungu

I am a xtian

Hiyo mti haiko Kwa bible

Hata chakula haiko Kwa Bible but we eat it on a daily basis

Kata a cypress branch alafu uweke pamba (snow), nunua disco lights and there you have your tree.

Jikiria kiindu ngutumire kuuma guuku yues.

Ata Christmas yenyewe haiko kwa bible

Patrick Mbacio wachana na hii upuss ya wazungu. Fanya venye @Condor amesema.

Jehova! Where did we go wrong!

Bro I think youโ€™re a bit late. :DTraditionally all your decor should be up one month in advance, so by around Nov 25th.

Sisi tumezoea kuweka on the eve of Xmas