Mrs wawesh,uko tu?
Kabuda , Mr Waweru alileta mahari kwenyu ama bado anakudinya bila blessings ya wazazi
Bado wewe ni Manamba ama ulipata drivers licence ya rori?!
Maisha ya Majuu sio lahisi maze!
Kabuda you’re the reason I discovered kenyatalk. Unakumbuka ile story yako ya threesome. But siku hizi ulizeeka ukanyamaza.