[MEDIA=twitter]1624635188041981954[/MEDIA]
Jitu la miraba minne.
Huyu jamaa hukua mkubwa bana
Ndio nmeona. Yet akiwa kwa court unapata wote wanatoshana. Kumbe huwa wa bigi hii design.
6’9
Am 6’1 na vile huwa najiona mrefu.
hii ndio sasa tunaita legacy ya planteshon owners. Vijana yake pia itaingia NBA. sio upus mimi huskia hapa munasema
[ATTACH=full]495427[/ATTACH]
Shhhh utafanya @Sambamba ajinyonge… juzi alisema hapa jinsi he called for an emergency meeting Kwao and had a heart to heart talk with his father and mother why they gave him a useless height of 5 5’
:D:D:D kumbe @Sambamba ni dwarf.
Pitia hapa
Lebron is 6’8
but he is small compared to the Shaq [ATTACH=full]495460[/ATTACH]
Shaq is 2.19m.