When you play stupid games

Hii story ya kufungiwa inje ya nyumba, na bibi hunishangaza sana, I witnessed it from my neighbor, 2 smart presentable people, probably in there 40s, bibi alikuwa anafungia jamaa inje, he starts banging the door loudly, I think management got a complaint wakarushwa Siberia , Mimi sikuwa nashikanisha, hadi one night, I came home late nikapata jamaa seated down kwa floor, he was drunk bila sweater, I wanted to invite him in my house, but sikutaka tuzoeane

Sasa hapo , kama umezaa more than 2kids, itabidii uendele kuvumilia, but this is wrong on so many levels

Bibi hawezi kukufungia nje unless you are a spineless chieth of a man.

In fact, ukirudi midnight she should open the door dancing akipiga nduru na mayowe kama wale wamama hupokea heads of state kwa airport,

Alafu she removes your trench coat and shoes, anaweka pillow kwa recliner, unatulia ukiona WWE replays,

Meanwhile anakuletea ugali moto na fresh tilapia with mango juice in tow –

Because you are the man of the house!

How do you pay the bills alafu unafungiwa nje kama guok maduong?

25 Likes

guok maduong ni nini jaruo

3 Likes

Umbwa kubwa

4 Likes

You talk a big game for someone who gets angered by sarcastic statements :joy:

Ukifungwa nje hiyo si familia yako anymore. Usilipe hata 1 bob ya stima, rent, ama fees. Wabaki na hali yao.

3 Likes

Ni Mapenzi…

1 Like

Una Rudi lini ukuje nikupee salamis with niceness.