When you drive a hybrid....

…you literally forget than it requires fuelling.
[ATTACH=full]146064[/ATTACH]

This can happen to anyone. I’ve seen it kwa “wossap” na mambleina wako “kama huwezi afford usinunue”.

Firstly, in the excitement of driving, he could have forgotten. He could also have been trying to get the lest he can drive with, then when going to the peti, imehang.

Happened to me once after buying my fozzy. I filled the tank and drove until it stalled. I got 550kms before the car went off. The 5 litre nilibeba ndio niliweka.

Sifanyi hiyo stunt tena.

he he…they say the fuel pump requires fuel for lubrication and cooling…by driving until it gets to 0 drop, doesnt that do harm to the fuel pump, furthermore it can suck debris found in our fuel tanks?

By the way it does. I didn’t know that until a while later. Ndio maana sitawahi fanya tena.

@1776 cars nowadays give you ample warning. Even range before empty.

I don’t see the reasoning that one can forget.

Wakati umehire gari na ililetwa kama taa imewaka, I try to return it ikiwa vivyo hivyo Siku Moja I’m sure nitapata ndai range counter iko off nijipate hapo

Na kama ingestall ukiwa superhighway hapo ndani ya tunnel ile ya pangani

:D:DSidhani ningekuwa hapa nikibonga

Unaeza sahau kama gari ni mpya.
Mimi hiyo nilizoea kitambo ile wakati nilikuwa naendesha gari ya 3km per ltre. Ata saa ingine ningeweka mafuta kwa cabin alafu naweka fuel line. Hiyo time tulikuwa tunatumia ile mafuta ya kitambo ya regular lakini ilikuwa cheap hiyo time. Hadi gari ianze lurching na izime. When I started doing vintage toyota niliacha juu pump ikiwa empty haingevuta ukileta mafuta. Ilikuwa inabidi ni disconnect carburettor nisuck mafuta na mdomo kwanza alafu petroli inanichoma kwa mdomo. Nikaacha. Gari niko nayo haijawahi nizimia.

I think gari ikistall hapo ni the worst. Naweza-piss my pants. Literally. Someone educate me on highway etiquette plus tunnel etiquette Incase you stall mahali kama hapo kabla nijipate pabaya. Sitaki kuwa statistics.

Best discipline , always maintain half tank. Saves unnecessary detours n visits to the fueling station

Na ikipata other mechanical issues unavoidable?

[ATTACH=full]146105[/ATTACH]

We unaona kama anatumia zile vibuyu za soo tatu,…the dude is refueling with a mtungi!
alafu is that a Bimmer i8

Hapo bus ya githu inakuom na mbio inakuingia

Hakuna kitu mbaya kama kuvuruta vapour moto ya petroli.
Inaenda direct kwa grey matter.

Hapo omba mungu that you have enough space and time to get out and put the lifesaver before getting rammed.

Hizo mat zimetoka Githurai zimechemka hata hazitaona hiyo life saver na hazard. Ni Mungu tu akuokoe mtu asipite na wewe. But chances ya kuwa rammed ni extremely high even with life saver na hazard

Inaleta kipara?:D:D:D

Hehehe.
Nikiangalia mandugu zangu, inakaa inavaporize hair follicles.