When to get hitched.

My 2cents… When a mjamaa leaves this maneno of settling down for too long kama kindo after 35years he/she (kuna madame Mjamaa) gets used to doing stuff intheir own ways… Viatu kuna mahali specific wewe huweka ukiingia kwa house, tu underwawa kuna mahali wewe huanika ukitoka kwa bafu, labda ukienda kwa cho kuna kale kawimbo wewe huimba ndiyo mambo yafanyike,labda wewe ni mjamaa wa nduthii etc.
Sasa, when Mwende comes around all your rituals and routines need to change so as to accommodate her/him.
If she/he is there for just a couple of days …then the end justifies the means and there is no problems lakini akizidisha the stay, shida ndizo hizo.
You start noticing vile hatandiki kitanda vizuri, hauwezi nyamba ovyo kwa nyumba yako, aningia kwa choo wakati wako etc.
Hiii yote ni sababu umezoea kuishi pekee yako.

Usigoje kupata kazi nzuri kwanza ama kupat MBA kwanza. There is no time when you will be 100% ready or comfortable to settle down. kama umefika 30 for a guy you are ready.

Mimi watoto wamenitosha. Mambo ya ndoa ntafikiria.

utawalea peke yako?

This is very true and infact it gets even more frustrating when you get kids and you realize that you are no longer the king of your castle but a mere visitor.Dont even get me started on when you have to accommodate a mboch sasa hapa ndio utajam yako yote!
Guess that’s why many men spend a lot of their time at the local pubs.

Huwa anaskia Tu wako poa na zao; kulea digital

Apana tambua peasant advice,mwoman kwa nyumba yangu for more than a week is enough to give me nightmares.Mimi hapana tambua kuishi na mosquito kwa nyumba moja.

#ngahikaniadeda

Charles Njonjo alioa akiwa na 52 years. Watoto washakuwa wazima na yeye anachungulia 100 years, kwa hivyo usitusumbue.

Pewa FAXE mbiri jioni kwa bill yangu.

Humans are bound to adapt to any situation so ata nikiwa 40 nimekaa peke yangu nipate mrembo tutaishi tu.

As I said, its a catch 22 situation. when you think you are ready to get married, you will most likely feel that your spouse is invading your space. Samaki hukunjwa angali mmbichi.

Si kataii hii. lakini think about it, after 20years living alone how accommodating can you be?

It’s these kind of excuses which makes a peasant believe that just coz he was born in poverty,he will remain poor for the rest of his life.You can trace some of these foolish sayings to some remote SLUM village in nyeri or down at the coast where they have thick headed women who think they can dominate over men.Fact is its your job as a man to control your mwoman,apana tambua excuses.

Growing up we have had siblings who may have had habits that put us off what I’m trying to say is there can never be 100% blend no matter the relationship and age.

Fixed

Just coz i don’t keep a mwoman in my house doesn’t mean am a champion wanker,am getting more action than these so called couples who put up a smile just to impress everyone around them.

[ATTACH=full]48858[/ATTACH]

Punda wewe… centro women wameingilia wapi?

More like hand action…

Marriage is a sacrifice. The sooner you get kids the better. Soon they will in high school boarding and you will have all the time you need to chase ass juu mara mob by then ata bibi ako na shuguli zake including kugawa if you are unlucky

Hata Bob Collymore ameoa juzi na hana hata watoto na yuko na pesa kuruka…I think a man can marry when he feels comfortable, hizo zingine zinakuwanga tu beleifs na theories za watu.

Mtaishi how long?
[ATTACH=full]48861[/ATTACH]
:D:D:D
On a light note.