[ATTACH=full]193004[/ATTACH]
This ninja thought he could wear two different shoes in different sizes and nobody would notice? Na ni presidential event.
Aki ya nani, gari yetu haina dereva.
[ATTACH=full]193004[/ATTACH]
This ninja thought he could wear two different shoes in different sizes and nobody would notice? Na ni presidential event.
Aki ya nani, gari yetu haina dereva.
Cheza chini.
Police savis…
Either photoshop or image perception. Anyways sijui mbona I feel siwezi tishwa na mtu amedunga hiyo uniform.
True angle makes them appear to be of different sizes
Hizi vazi ndizo ng’ombe za M7 na Magufool hufanyisha watu team building nazo. They must allow maximum rotation of arms and feet.
[ATTACH=full]193012[/ATTACH]
Labda one foot is bigger than the other, halafu the guy who designed this unifom must be the same guy that came up with the makanga uniform.
Ikikuja kwa mambo ya design in kenya kila kitu inakuanga jua kali.
hizo 001 002 zinaonyesha time ulijoin vile sisi huwa job ama ni umeffi tuu ?
hizo 001 002 zinaonyesha time ulijoin vile sisi huwa job ama ni umeffi tuu ?