When Tenda Wema goes wrong.

Hizi vitu za WhatsApp mimi huwa si fun, lakini hii imenipata.

[ATTACH=full]189898[/ATTACH]

:D:D as funny AF but ngoja @gashwin atoklezee

:D:D Kujichanganya hadi unachanganyikiwa na ile mfuko umeweka tu fifty’s.

hujuma

Umejua miti ni dawa.

Hako kanyani hunibamba na hiyo reaction :D:D:D:D

Midwenye

Happened to me once.

So members wa squad ya akina @pamba wamenishika hapo manyanja road and they demanded a self induced ransom(chai) bahati mbaya i had a thao kwa mfuko plus another thao but ya kariobangi. Nika janjaruka nika amua kutupa iyo moja inje ya cruiser kumbe jamaa ya akina @pamba imeona ku ulizwa nikasema iyo sio yangu na sjatupa kitu jama kukagua akapata iyo thao aka ji pin kufika stenje kuenda kutoa thao yangu kumbe nilibaki na ile ya kariobangi

Were sasa no mahabusu na fake money unafanyia nini musamia impure?

I see no similarity to Tenda wema nenda zako… Hapa its more like pwagu kapata pwaguzi…

And what were you doing with fake money?

If ujai make dirty money in Nai then you have a long way to go…ngoja tu

You are the kind that is very bad for business in the county