Hizo forums za Somali achana nazo, in terms of hate, it’s Jamii forums on steroids. A funny name I see cropping up each time they refer to us is the name “Bantu”:D:D:D:D:D sijawai elewa mbona coz. Bantu is a group of languages, not ethnicity
Why give a fuck? We have @Mtanzania Magufuli who had to cross forums just to come and remind us that we are hated in their forums, but what do we do? We give him and his brothers zero fucks
I careless what some keyboard warrior feels about Kenya,they can go hanging better still with their weird English they can be run over by Introverts leyland/bedford lorry.meffiiiiii!
Wewe utajipata umekiwa mkimbizi huku kwetu. Nitakualikua Kama kaka. Hii forum yenu pia yajiona Kama mefika 1st world. Twangoja uchaguzi wenu tuone vita
Asante lakini hapana. Nitapewa uhifadhi Ulaya au Amerika. Nilikwambia unitafutie hoteli bora zaidi Dar nitakuja kujivinjari hivi karibuni nijenge uchumi wenu kwa pesa za kenya
Kuja colosseum imeshika na najua utafurahia kwasababu hakuna malipo yeyote utalipa kwa swimming pool. All included. Sio Kama wezi wa kenya kila kitu ni kando hadi unalipa swimming.
[ATTACH=full]50807[/ATTACH]
Hio Colosseum ndio iko 79 Haile Selassie Road, Oyster Bay. Inazo review chache sana, mbona?
Kuna nyengine nimeona yajiita Ledger Plaza Bahari Beach Hotel, iko sambamba?