When Fiud Macho realized fighting wasn't for him

I really hope this hasn’t been posted here before. Enjoy @FieldMarshal CouchP 's last fight
[MEDIA=facebook]id=1677398862562522;type=video[/MEDIA]

11 Likes

He he he he he! Huyu shortie ako na kiemba ya blue is not savage. Wakati huyo jamaa amaenguka angeweka teke ya makagary yapasuke kama mayai…

1 Like

:D:D:D:D

weka findio vizuri

Watu waende gym na wa train legs and back…hiyo ni aibu

1 Like

Sad.

Kwani umelewa ndio unaona video mbili?

1 Like

Boss, Man-Mode dictates that under no circumstances should you hit another man in the balls. Even an animal, you shouldn’t.

2 Likes

Hehehe huyo mzee ni bure sana