Nani ana experience noma na watsapp my text haziendi
Anyone experiencing that? Its more than 15min saii
Bundles niko nazo so nashindwa shids iko wapi?
Nani ana experience noma na watsapp my text haziendi
Anyone experiencing that? Its more than 15min saii
Bundles niko nazo so nashindwa shids iko wapi?
Check ua network bars …
Everythings is Ok
[ATTACH=full]25871[/ATTACH] kama ata ktalk naeza ingia…kuna sida mahali
whatsapp inaruka mwaka, wait mpaka 2016
Whatsapp iko down…i think ni traffic iko mwenda imagine dunia mzima
Vile @mollisleloaded amesema. I have also experienced a delay in delivering messages but only for a couple of minutes.
ni excitment za new year labda servers Are overloaded with everyone wishing each other new year a busy day it is
some 1 was expecting nudes na dame amekawia…
Awa watu wambore…insrudi alafu inspotea tena
Im experiencing the same thing too… Inaboo ka fuckeen
Mimi nimeshinda nikirefresh thinking ni network ya diaspora, iko na Shida
they took down the servers to save people from sending those drunk texts kuweni wapole
Nimesumbuka ka ghasia :D:D
Acha nikavute fegi
Yangu iko nywee lakini ya siz ako diaspora anasema yake haiendi.
Mambo ni telegram.