WhatsApp Down in last hours of 2017

Anyone already noticed that since 2200 WhatsApp is not receiving or sending messages. Kwani ni closure ya mwaka officially au

I am also experiencing problems

Ni watu kujaza server za whatsapp na umeffi .

support ilienda ulevi

Watu ni kurecycle messages tu

In experiencing the same problem

Hizi downtime zao siku hizi zimekuwa too much.

I hope it never gets back up

Whatsapp GB iko sawa

Mimi napata message kutoka kana zote za dunia !

31st dec whatsapp lazima ikiwe na mashida …kila mtu kutuma recycled messages za happy new year

Isharudi

Apantambua whatsappchieth, telegram haitusumbui.

Mimi yangu iko poa…nimetuma na nikatumiwa

Been using an android emulator tangu juzi. No downtime at all.