what's your elo in chess?

nimeanza kucheza this year… my life has improved since then kwanza 4p. Leteni challenge

Nachezanga tuu zile checkers za bottle tops

Najua gitama sana

Kabuti

Niko na karibu 1000 elo

Nikiingia kingi huwezi nishow any

Checkers ni za watu wanapenda matusi,kwanza wakishaingia kingi

Right now 760ish. Highest last year was 950ish on chess.com

Peana venue. Wewe ndía rúrú huwezi jombaa. Nakupiga mbwenya haziishi.

Kwanza pale Mombasa karibu na marikiti. Kuna tuzee tulikuwa tunacheza draft. Ile matusi ilikuwa ina tembea hapo. Kulikuwa Hadi mafans kushangilia mechi. Nilikuwa na pitia hapo jioni nikitoka kandarasi. Na watch mechi nikikunywa kahawa chungu na mahamri. Nilikuwa naskia kumamayo hili ngome huliwezi. Nakufira bila maji jombaa. Hii ni ndung’u.

@uwesmake amenyonji after kusoma 'Nakufira bila maji jombaaaaaa’