What's the smartest thing you ever invested in?

Be it investing in a car, shamba, or person, I’d like to hear from you.

Mimi, wakati nilimjua Bwana yesu, aki Yawa, wacha tu.

myself

the only reasonable investment hapo ni shamba cause it appreciates and has unlimited utilites. investing kwa gari skuizi heri nikamwage iyo pesa SABINA… people are unreliable and if need be, invest in your children

Maguta maguta.

What pleases you

maguta maguta ya my niglets,nikinyuria hakuna kupigana mashoka kama shiny eyes:D:D:D:D:D

Uliinvest your soul kabisa.

Auworo

Mimi nikifungua wines and spirits. Within one week nilikuwa nimekunywa Hadi stock.
Hapo ndio fiashara ilianguka.

My self and financial education(as prescribed in Rich dad poor dad)

Ulishika hio shake wapi munene?

Kwani ni Mimi pekee nilikula pesa ya crypto 2015-2017??? Lazima @Deorro ulikamua pia

Hiyo

Hiyo nakula hadi saa hii

Mimi pale Binance na Poloniex nilifanya grand theft auto.

Crypto iko sawa. Thats for sure.

Kuuzia watu btc ama?

Nope trading different cryptos on exchanges such as binance and finexbox

Tuma link I learn about it too

I could send you link ya binance and finexbox but siko sure if it will help. Its about trading and the experience.