mimi yangu nakumbuka ilikuwa on a sato after kutoka rugby,kuwasha cheap liquor na weed.
nika amua kuenda kumeza tusker mbili baridi kwa local halafu niende kulala…
uyo sparta anajibamba bila kusumbua,nikapatiya waiter simu aniwekee kwa charge kiasi juu simu ilikuwaa imezima…after kitu 50 min nikaitisha simu nichomokee it was about 1am,
sparta nikawasha simu nikapataa ile message ya l tried calling you…
nikasema saa hii ni late sita call back will call kesho, lakini kitu inaniambia call bana iko nini
ilikuwa mzoga nilikuwa nakatia bado sikuwa nimepewa slice, nikatoka nje ya local nakucall mzoga ika pick up,nika anza ufala za walevi kuuliza kama umelala bla bla mingi
then mzoga ikanishow nilikuwa nimeboeka home nikasema nikusalimiye
apo sparta akajuwa hii kunguru inatakaa kuni
nikamshow simu ilizima lakini si naweza kukujiya
mzoga ikasema saa hii hauko serious
nikasema wewe saa yoyote naweza kukujiya
mzoga ikadai basi nikujiyee…
nilikuwa tu najuwa anastay kisimani
sparta na ulevi yake na borner uyo chukuwa matatu, uko kwetu matatu ni 24/7
matatu watu walikuwa less ikasimama sana pale kenol karibu ni lale kabisa,lakini eventually nikshuka kisimani
nikatoa simu na kucall mzoga
mzoga kushika simu namshow niko stage ya kisimani kwako ni wapi?
mzoga wa shocked:eek: ikasema thought u were joking timo,kuwa serious saa hii umekuja kisimani!
nikamshow si umeniambia nikuje tuende na wewe home:rolleyes:saa iyo bado niko na massive boner.
mzoga ikadai aki siwezi toka saa hii juu ata my siz yuko uku,Timo tutaonana kesho:eek:
:mad:kesho yani na nimekuja all the way
nikamchapa lugha nikamshow basi natakaa tu kukuona:)
akanishow apo unaona watu wa boda boda, nikasema eeh wako patia moja simu
nikapatia jamaa simu wakaongea na yeye akapewa direction,
jamaa akaniambia kalia tuende bei ni 100ksh
uyo sparta nikaruka kwa bike na tuka-anza safari
apo kwa akili nilijuwa leo nakamua
nikauliza msee wa bike uku kunaitwa aje?
akanishow uku ni Makaburini:eek:
nikamuliza mbona kunaitwa ivo, akanishow hii shamba yote ni makaburi zimejaa
apo makei kwanza ikashrinko_O
eventually nikafika nikalipa mtu wa nduthi na akachomoka, mimi na ufala yangu sikuchukuwa number ya simu yake ndio anikujiye:mad: big mistake
nikacall mzoga nikamshow niko kwa gate,mzoga akanishow nacome
apo na ulevi wangu na chill mzoga
mzoga ikafungua gate,nikaenda nikamchapa hug,mzoga still shocked akii saa hii TIMO hauko serious
mzoga nikajaribu kumconvince tuende akasema hawezi toka juu ya siz yake mkubwa bla bla mob…
apo sparta hauna vile nigekuja all the way na nirudi na bluballs
mzoga ilikubali tu kiss na nikaguza boobs juu juu:mad::mad:
akanishow kesho nitacome kwako we will finish this usiwe na haraka TIMO
apo akaniweka box nikasema ni sawa,
nikamshow acall jamaa wake wa boda anikujiye…jamaa akadai leo hayuko kazi
bado saa iyo na beg mzoga balls ni nzito atleast anitoe ile joti ya kiherehere iyo siku nilikuwa naskia sikulani AFANA
mzoga akaniguza tu makei na kunishow kesho am all yours babie:rolleyes:
nikapewa busu ya mwishow akanishow after church kesho nikugurumisha kwa sparta kama generator
nikasema sawa saa iyo na ulevi nikapataa courage kuenda hadi main road kucheki boda inifikishe stage
tukawachana na mzoga ikafunga gate…ika wisper ni call ukingia matatu TIMO
sawa;)
nilitembea vizuri na kifua hadi iyo area ya makaburi ndio makei ikashrink tena
nikaskia nywele imesimama kulikuwa kitu na sense danger, nikasema sparta wacha kuogopa makaburi
nikaendelea kutembea…
niliskia tu binja msee ame whistle mwenzake pia akarespond different direction, instint ikaniambia kimbia
ata sikuchapa meter kumi nilijiona nimebebwa juu
adam apple imefinya think walitumia mbao ama chuma… najaribu kurusha miguu hawa wengine nao washika miguu…wakanisanya kila kitu hadi viatu …nikabaki apo kama 10minz kabla niwezee kuamka,ata sikujuwa direction ni gani nafaa kuendaa…fombe ilikuwa sasa imetoka kwaa mwili…
nilitembea ivo pole pole hadi nikapatana na jamaa wa boda anapeleka mtu wakasimama…nikajaribu kuongea sauti haitoki, throat ilikuwa imefinywa kama ya mbuzi, nilikuwa na whisper kama ule dog whisperer
wakanibeba hadi stage wakinihurumia wakiuliza wamekunduka kisu ama, coz l was bleeding ata sikuwa najuwa thought ni jasho…
kufika apo stage ule msee alinibeba akakuja kuniuliza nini kaka kwani wamekuchapa pale nilikuwacha?
saa iyo tu nilikuwa na wish tu nifike kejani nilale
gari ilikuja ya bamburi ikasimama watu wa boda wakanitetea beba uyu ameibiwa muwekee mtambo
makanga akadai uyu ni mlevi hakuna kuibiwa:eek:
akalenga na akaenda
matt ya pili ndio alikubali akanibeba hadi mtambo,
kufika watchman naye nini TIM sikuongea na yeye…nikapanda stairs
bana kufika kejani ata sikumbuki sina keys na iyo mlango kuvunja ni stress
ilibidii kuamsha jirani boy anaitwa mike
bana na yeye alikuwa na mzoga,lakini atleast nilioga na nikalala kwa kiti
iyo mzoga ya makaburini zile nuks ililetea sparta aki:mad: