What's the best meal you had with under 100 shillings?

Mine was…

  • 2 chapatis chopped in with supu ya maharagwe
  • Sukuma na cabbage
  • kachumbari with ovacado

I paid only 80 Bob for that and I’m sure it will put any expensive vegan meal to shame.

2 thick chapatis
Thick stew with peas
Kachumbari

chapo mbili, maharagwe, sukuma kiasi na ile avocado inakaa kutoka group of schools…doesn’t get old

[ATTACH=full]178641[/ATTACH]
Hii ndio lunch Leo, but for a 100bob, ugali spinach and a glass of mala will do just fine.

Seven people full breakfast ie kuku quarter for 4 of us, chapati kila mtu, chai na waru(burrofcos) zile za Malindi. Total was 870/-
Three years ago.

Kuma ya 80 bob pale Gichobo

Kama hii ni mia moja basi Kenya tops the charts in the fight against corruption.

Bought some Karanga (nyama) + Chapati + Kachumbari for 70 bob in a shack kando tu ya the Lunga Lunga - Likoni road at Msambweni

Mutura pale kwa Stage,

I think people who mix skuma with cabbage are mentally unstable

Hii sio mia, ugali mala ndio mia

Wali, madondo na cabbage fresh kutoka shambani in a certain rural kiosk in Mathira. Nikienda njia hiyo lazima nipange vile nitasimama hapo. Damage 70 na ukiongeza kikombe cha chai 90.

Na bado utaambia @MISCHIEF eti huwezi kula nyani?

:D:DWhy?

haha waah sasa umenifanya nianze kujishuku bana. na wazee hapo walikua ttu wanaitisha turungi na kaimati wakitucheki sisi tukijibonda na “nyama”

kuna time nimekunywa from thursday to saturday na ma boyz bila kulala tukaingia chuom fulani ya samaki hapo nyuma ya fourways , nikachafua samaki half na skuma na sembe chap chap na ku feign simu na kuenda umoja Paris pub kuendelea ,

:D:D:Dni nyama.

Mboga na nyama mix(a few pieces but it makes the stew nice) na Ugali. Kuteremsha ni mala. Nikiona watu wa soda na cakes I pity them.

[ATTACH=full]178644[/ATTACH]
Weka iwe 50 bob ndo watu wacosto tuchangie 100 ni mob sana

Namba nane i.e roasted pork, sukuma wiki+kachumbari+ugali 80/- as the name suggests