Friday the pay day. Leo hakuna kulala
Hii nimetoa watsapp:
HAKI MADAME WA KENYA MTANIONYESHA MAMBO…
Jana nikiwa kwa mall flani jamaa aliomba dame flani alkua anafanya shopping Namba ya simu… dame akampea…jamaa akatoka akaingia kwa RANGE ROVER sport akagurumisha na akaanza kuenda…dame akatoka MBIOOO akishout…NI WRONG NUMBEEEER NI WRONG NUMBER…aki mtu anikimbizie anisimamishie huyo mtu nimpee namba ya UKWELI!!! SMH SMH
people look stupid when they customize stolen hekayas to fit the character…mwingine hapa tu jana alituambia the lady had noticed his ([SIZE=1]fantasy[/SIZE]) German machine…