Ni Mathe anataka simu, na siwezi muongezea pesa mimi cos she’s a landlord and serious farmer… Tajiri huyo.
Needs something that will last for like 5 years.
At that price point, you are looking at low end phones. You wont get a decent phone at that price. Spec wise you will get the bare minimum. Devices in that price range are very limited. You have to contend with shitty devices like Tecno, Infinix and Itel.
9k bro, hiyo ni simu yenye WhatsApp itajaza within 3 months alafu mathee aanze kukuita kufanya support yet she won’t want you to delete any of the data on the phone. Mwambie aongeze kidogo ifike 15k anunue kitu iko na 150GB at least. That will last for the 5 years you are asking for
Ongeza 1k & buy Redmi A3 ambayo iko promotion sahizi
Techno smart
Umetaja Techno! jameni
Next year lazima nishike nangos ya nguvu.
Ni gani hio mr. Mike
Nunua refurbished phone hapo kilimall. Just 4k you will get an old oppo A57 with 64gb memory. It is more powerful than most 10-15k phones. Only downside ni android 6.
Yangu ni HMD Pulse Plus bought for 15k with that same 150GB
Nmeicheki.
150GB or 128GB?
Hapo kwa hiyo bei hakuna simu decent. Zote ni mbovu
hii sio mbaya
Ingia badili website na ukamate samsung a20 kitu sambamba at 8999 na unaletewa kwa doorstep ndio unalipa
Battery matata
Honor your mom some respect with a good Samsung (below 20k), hivyo atapurahia zaidi miaka mingi.
Akuna kitu kama io,have had one very nice fast charging ikiwa 100 inaniskuma 1.5 days
Most ni model za korea market
Ingia masoko.com huwezi kosa Neon legit
buy a second hand flagship phone.
mwenye atakuuzia make sure umeona messages zake kwa io simu, za last 3 years, na simcard yake kwa io simu, ikuwe ndio simu yake enye yeye hutumia kila siku