Hoyowe huyo ni Bwana ya wenyewe…
Passaris: Najaribu kumshika kiuno anakataa, hata mkono tuu Governor anakataa nimshike eti
Sonko: Nishike X3 , nishikee pole pole mini Bwana ya wenyewe
Passaris :Angalia hio wallet ,na hizo bling, naomba unielewe hata ka we ni Bwana wa wenyewe , si umekuja Intercon , kwani hukujua intercon wahuni wamejaa, wacha tuu niguze hizo bling na hio wallet
Sonko: Nishike pole pole me ni Bwana wa wenyewe
Passaris: Umekuja Intercon ama umekuja kanisani, infact kanisani si huwa unatoa manoti, hebu toa hela ,hapa intercon umejileta mwenyewe, hata mimi ni wa wenyewe, kama uliacha mlango wa kanisa ukaja hapa ,usiniambie we ni Bwana wa wenyewe ,once umefika Intercon, ushajitolea