What to invest

Oya Niko na 5k biz gani itamake na hii pesa…isikue gambling

Mayai boiro

Nunua lollipops uzunguke university ukiuzia students . Ama ubuy boxers, vests and socks uweke kwa bag uzungushe hostels za maboy.

Think in these lines:
1). Chips mwitu
2).Mayai boil
3).Smokie pasua
4).Panties
5).Handkerchiefs
6).Sweets
7).Condoms(hawk usiku kwa clubs)
9).Mahindi choma

5k Nunua enda gikosh buy a bale of shirts or trousers or tops ya madame… Tafuta base cbd chapa kazi