What next

You looking for a job. Then when you call the guy advertising the post, he asks you, “which one are you referring to?” bla bla bla… In the last statement he tells you…" kuja 680 Hotel kesho saa tatu, alaf ukuje na 500/-"

Huyo ni dingo mblo

Genuine jobs do not require you to pay anything to get them

1 Like

Ushaambiwa.
This guys prey on your desperation.

Network marketing

Ushaambiwa.
This guys prey on your desperation.

Ati 680 na sow tano ?, kijana chunga mkia

6 Likes

:D:D

Hehehe… Naeza rudi bila mkia?

Izi nyang’au zinajiita sbc ama?

Unaeza rudi ukinuka mkia :D:D:D:D:D

Has anyone ever been lured into GNLD?

I dont know if sbc is among them but there are several operating in Kenya e.g. forever living, Tianshi, GNLD and many others.

Natafuta @waigajo tuende pamoja

Expaund

Nishawai enda hizo mkutano zao; nkaona hio ni upuzi ya kurecruit. Hapo hakuna biashara…

1 Like

ukisikia jina 680 hotel in any deal… toka dash kiUsain Bolt

6 Likes

hakuna kazi huko, chunga usikamuliwe :D:D:D

1 Like

Vile @123tokambio amesema
"

"

680 ni moto wa kuotea mbali sana.

Ni hayo tu