Hii Kenya ni kama tunakulanga vitu zingine na hatujui.
After form 4 nilianza kufanya kazi ya malorry na my rich uncle tukitoa vitu Mombasa tunapeleka huko Uganda.
On our way Kuna stopover tulikuwa tunasimama kukula where I used to love ugali nyama juu it was cheap na mingi.
One day nikapatana na one of my old friends anafanya kazi huko kama mechanic and decided to buy lunch tukicatch up na each other. Mimi kama kawaida nikaamua nimpeleke my favorite hotel lakini jamaa akakataa akasema huko wanapikanga nyama ya mbwa hawezi kula tunaenda kwingine.
Nilikula hiyo chakula na kilio nikikumbuka hiyo chakula yote nimewahi kula ilikuwa ya mbwa.
Kutoka hiyo siku kama si nyama nimechinja siwezi kula.